Friday, October 12, 2012

IBADA YA JUMAPILI HII


TANGAZO
UNIVERSITY STUDENTS CHRISTIAN  FELLOWSHIP
USCF-UKWAVITA (UKWATA) AMUCTA

TUNAPENDA KUWATANGAZIA YAKUWA JUMAPILI HII YA TAREHE 14/10/2012 TUTASALI PAMOJA TTC-ROOM NO.7 IBAADA ITAANZA SAA 1:30 ASUBUHI, HIVYO BASI KAMA MWANA-USCF (UKWATA) KUANZIA MWAKA WA KWANZA HADI MWAKA WA TATU MNAOMBWA KUSHIRIKI PAMOJA IBAADA HII MUHIMU KABISA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MWANZO  KWA MWAKA WA MASOMO 2012/13.
SAMBAMBA NA HILO, RATIBA YA KWAYA WIKI HII ITAKUWA KAMA IFUATAVYO
JUMAMOSI-SAA 8:30 MCHANA
UTARATIBU WA KUPATA VITAMBULISHO KWA WALE AMBAO MAJINA YAO YALIKOSEWA/HUKULETA PASSPORT (MWAKA WA 2 & 3) NA MWAKA WA 1 WOTE ITAKUWA  KAMA IFUATAVYO
JUMAPILI HII BAADA YA IBAADA WOTE MTAPIGWA PASSPORT ILI TUKUTENGENEZEE KITAMBULISHO NA HAITAPOKELEWA PASSPORT YA KAWAIDA.
HIVYO  BASI JITAHIDI KUHUDHURIA SIKU HIYO ILI TUWEZE KUPATA SOFT PASSPORT YAKO. NA NDIO ITAKUWA SIKU YA MWISHO KUSHUGHULIKIA MAMBO YOTE YANAYOHUSU ID ZA USCF
“Mnifuate mimi kama mimi ninavyomfuata Kristo.” 1 Wakorintho 11:1

JACKSON MESHACK
KATIBU-USCF (UKWATA)

Friday, October 5, 2012

IBAADA YA JUMAPILI HII TAREHE 6.09.2012 ITAFANYIKA TTC-ROOM 7TANGAZO
UNIVERSITY STUDENTS CHRISTIAN  FELLOWSHIP
USCF-UKWAVITA (UKWATA) AMUCTA

TUNAPENDA KUWATANGAZIA YAKUWA JUMAPILI HII YA TAREHE 6/09/2012 TUTASALI PAMOJA TTC-ROOM NO.7 IBAADA ITAANZA SAA 1:30 ASUBUHI, HIVYO BASI KAMA MWANA-USCF (UKWATA) KUANZIA MWAKA WA KWANZA HADI MWAKA WA TATU MNAOMBWA KUSHIRIKI PAMOJA IBAADA HII MUHIMU KABISA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MWANZO  KWA MWAKA WA MASOMO 2012/13.
SAMBAMBA NA HILO, RATIBA YA KWAYA WIKI HII ITAKUWA KAMA IFUATAVYO

JUMAMOSI-SAA 8:30 MCHANA
UTARATIBU WA MAOMBI UTAKUWA KAMA IFUATAVYO

IJUMAA-SAA 12:30 JIONI
JUMAPILI-SAA 1:00 ASUBUHI & BAADA YA IBAADA


“Mnifuate mimi kama mimi ninavyomfuata Kristo.” 1 Wakorintho 11:1

JACKSON MESHACK
KATIBU-USCF (UKWATA)

Thursday, September 27, 2012

TANGAZO LA IBAADA YA JUMAPILI HII YA TAREHE 30/09/2012


TANGAZO
UNIVERSITY STUDENTS CHRISTIAN  FELLOWSHIP
USCF-UKWAVITA (UKWATA) AMUCTA

TUNAPENDA KUWATANGAZIA YAKUWA JUMAPILI HII YA TAREHE 30/09/2012 TUTASALI PAMOJA TTC-ROOM NO.7 IBAADA ITAANZA SAA 1:30 ASUBUHI, HIVYO BASI KAMA MWANA-USCF (UKWATA) KUANZIA MWAKA WA KWANZA HADI MWAKA WA TATU MNAOMBWA KUSHIRIKI PAMOJA IBAADA HII YA KWANZA KABISA KWA MWAKA WA MASOMO 2012/13.
SAMBAMBA NA HILO, RATIBA YA KWAYA WIKI HII ITAKUWA KAMA IFUATAVYO
IJUMAA-SAA 11:30 JIONI
JUMAMOSI-SAA 8:30 MCHANA
UTARATIBU WA MAOMBI UTAKUWA KAMA IFUATAVYO
IJUMAA-SAA 12:30 JIONI
JUMAPILI-SAA 1:00 ASUBUHI & BAADA YA IBAADA
“tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho.” Wagalatia 6: 9
JACKSON MESHACK
KATIBU-USCF (UKWATA)

Wednesday, September 26, 2012

KIPINDI CHA KWAYA WIKI HII -USCF AMUCTA

 kwa wanakwaya wote wa USCF-UKWAVITA wa mwaka wa pili na wa tatu ya kuwa Ratiba ya kwaya wiki itakuwa kama ifuatavyo IJUMAA SAA 11:30 .ENDELEA KUSOMA HABARI HII HAPA >>>>>>>>>

Thursday, September 20, 2012

KARIBUNI WANA-UKWATA MWAKA WA KWANZA WOTE HAPA AMUCTA

       Mwaka wa kwanza wote ambao ni wana-UKWATA  huko wmlikotoka yaani mashuleni mlikokuwa mnasoma, tunawakaribisha sana katika USHIRIKA WA KIKRISTO WA WANFUNZI WA VYUO VIKUU TANZANIA (UKWAVITA) ama kwa kingereza tunakiita UNIVERSITY STUDENTS CHRISTIAN FELLOWSHIP (USCF).

    karibuni sana tumwabudu Mungu katika roho na kweli, pia kuna fursa mbalimbali katika kikundi chetu cha UKWAVITA-USCF.

1. KIKUNDI CHA KWAYA
2. KIKUNDI CHA MAOMBI
3. KAMATI ZA UINJILISTI
4. KAMA ZA UKARIMU
5. KUTEMBELEA WAGONJWA MAHOSPITALINI
6. KUTEMBELEA VITUO VYA WATOTO YATIMA NA WAJANE.


kama unahisi unapenda huduma moja ama kadhaa hapo juu na unapenda kumtumikia Mungu katika huduma ambayo unaipenda basi unakaribishwa katika kushiriki kulitangaza neno la Mungu kupitia huduma yeyote unayoipenda

                       KARIBUNI SANA
WENU KATIKA UTUMISHI WA BWANA

JACKSON MESHACK
KATIBU USCF-AMUCTA

Monday, August 13, 2012

UTARATIBU WA KUTOA MICHANGO YA WELCOME FIRST YEAR, ADA ZA UANACHAMA WA USCF & ID


USCF AMUCTA

TANGAZO KWA WANA-USCF WOTE AMUCTA

UTARATIBU WA KUTOA MICHANGO YA WELCOME FIRST YEAR, ADA ZA UANACHAMA WA USCF & ID

Wana-USCF (UKWATA) AMUCTA, tunapenda kuwatangazia kuwa kwa muda huu uliobaki kabla ya kufungua chuo unaweza kulipa baadhi ya michango ukiwa huko huko nyumbani kwa utaratibu ufuatao

Kila mwanachama ataruhusiwa kulipa kupitia M-PESA ya moja ya namba za viongozi wafuatao

uscf saut tabora