Pages

Monday, August 13, 2012

UTARATIBU WA KUTOA MICHANGO YA WELCOME FIRST YEAR, ADA ZA UANACHAMA WA USCF & ID


USCF AMUCTA

TANGAZO KWA WANA-USCF WOTE AMUCTA

UTARATIBU WA KUTOA MICHANGO YA WELCOME FIRST YEAR, ADA ZA UANACHAMA WA USCF & ID

Wana-USCF (UKWATA) AMUCTA, tunapenda kuwatangazia kuwa kwa muda huu uliobaki kabla ya kufungua chuo unaweza kulipa baadhi ya michango ukiwa huko huko nyumbani kwa utaratibu ufuatao

Kila mwanachama ataruhusiwa kulipa kupitia M-PESA ya moja ya namba za viongozi wafuatao



KIULA OSWALD -M/KITI USCF- 0763029651
SINEDA KADASO M/KITI/MSAIDIZI- 0766916782
MESHACK  JACKSON-KATIBU -0752595729
JUSTINE JOHN –K/MSAIDIZI- O762582807
PETER SIMON –MHAZINI-0755771625
HAPPYNESS LYIMO- 0714865668 (TIGO PESA)

UNaombwa kulipia kama ifuatavyo

1.1.   Mchango wa welcome First year – Tsh 5000/=
  2. Ada ya uanachama mwaka jana- Tsh 5000/= (kama bado hujalipa)
  3.Ada ya uanachama mwaka ujao (semester 1)- Tsh 5000/= 
I 4.ID kama bado hujaleta picha – Tsh 3000/=

Tunatanguliza shukrani za dhati kwa ushirikiano mliouonesha mwaka wa masomo uliopita, tunatamani kuona ushirikiano huu ukiendelea hadi mwaka huu,

Wenu katika Utumishi
Meshack Jackson
KATIBU USCF


No comments:

Post a Comment

uscf saut tabora