USCF AMUCTA
TANGAZO KWA WANA-USCF WOTE AMUCTA
UTARATIBU WA KUTOA MICHANGO YA
WELCOME FIRST YEAR, ADA ZA UANACHAMA WA USCF & ID
Wana-USCF (UKWATA) AMUCTA, tunapenda kuwatangazia kuwa kwa
muda huu uliobaki kabla ya kufungua chuo unaweza kulipa baadhi ya michango
ukiwa huko huko nyumbani kwa utaratibu ufuatao
Kila mwanachama ataruhusiwa kulipa kupitia M-PESA ya moja ya
namba za viongozi wafuatao