Pages

Thursday, September 27, 2012

TANGAZO LA IBAADA YA JUMAPILI HII YA TAREHE 30/09/2012


TANGAZO
UNIVERSITY STUDENTS CHRISTIAN  FELLOWSHIP
USCF-UKWAVITA (UKWATA) AMUCTA

TUNAPENDA KUWATANGAZIA YAKUWA JUMAPILI HII YA TAREHE 30/09/2012 TUTASALI PAMOJA TTC-ROOM NO.7 IBAADA ITAANZA SAA 1:30 ASUBUHI, HIVYO BASI KAMA MWANA-USCF (UKWATA) KUANZIA MWAKA WA KWANZA HADI MWAKA WA TATU MNAOMBWA KUSHIRIKI PAMOJA IBAADA HII YA KWANZA KABISA KWA MWAKA WA MASOMO 2012/13.
SAMBAMBA NA HILO, RATIBA YA KWAYA WIKI HII ITAKUWA KAMA IFUATAVYO
IJUMAA-SAA 11:30 JIONI
JUMAMOSI-SAA 8:30 MCHANA
UTARATIBU WA MAOMBI UTAKUWA KAMA IFUATAVYO
IJUMAA-SAA 12:30 JIONI
JUMAPILI-SAA 1:00 ASUBUHI & BAADA YA IBAADA
“tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho.” Wagalatia 6: 9
JACKSON MESHACK
KATIBU-USCF (UKWATA)

No comments:

Post a Comment

uscf saut tabora