Pages

Thursday, June 7, 2012

USCF AMUCTA YAKAMILISHA UTENGENEZAJI WA ID

Vitambulisho vya wana-USCF AMUCTA ambavyo vilikuwa vitolewe jumatatu hii vipo tayari na vimekamilika kwa kuzingatia mapendekezo yote ya wana-USCF pale walipotaka paboreshwe. hivyo wana-uscf wote ambao mmelipia ada ya uanachama Tsh 5000/= mtapokea vitambulisho vyenu kwa katibu jumapili hii kwenye Ibaada..
 

MUNGU AWABARIKI SANA

 WENU KATIKA BWANA 

JACKSON MESHACK
KATIBU USCF

No comments:

Post a Comment

uscf saut tabora