Pages

Thursday, September 20, 2012

KARIBUNI WANA-UKWATA MWAKA WA KWANZA WOTE HAPA AMUCTA

       Mwaka wa kwanza wote ambao ni wana-UKWATA  huko wmlikotoka yaani mashuleni mlikokuwa mnasoma, tunawakaribisha sana katika USHIRIKA WA KIKRISTO WA WANFUNZI WA VYUO VIKUU TANZANIA (UKWAVITA) ama kwa kingereza tunakiita UNIVERSITY STUDENTS CHRISTIAN FELLOWSHIP (USCF).

    karibuni sana tumwabudu Mungu katika roho na kweli, pia kuna fursa mbalimbali katika kikundi chetu cha UKWAVITA-USCF.

1. KIKUNDI CHA KWAYA
2. KIKUNDI CHA MAOMBI
3. KAMATI ZA UINJILISTI
4. KAMA ZA UKARIMU
5. KUTEMBELEA WAGONJWA MAHOSPITALINI
6. KUTEMBELEA VITUO VYA WATOTO YATIMA NA WAJANE.


kama unahisi unapenda huduma moja ama kadhaa hapo juu na unapenda kumtumikia Mungu katika huduma ambayo unaipenda basi unakaribishwa katika kushiriki kulitangaza neno la Mungu kupitia huduma yeyote unayoipenda

                       KARIBUNI SANA
WENU KATIKA UTUMISHI WA BWANA

JACKSON MESHACK
KATIBU USCF-AMUCTA

No comments:

Post a Comment

uscf saut tabora